SWAHILI
Tusikie mafundisho ya ujasiri ambayo watu maskini zaidi wanatupatia.
Katika nyakati hizi ngumu, je, hatuna tabia ya kukumbuka tu matatizo yetu, na kuhesabu tu idadi ya watu wanaokwenda katika (…) Read more
Kubadilisha historia katika undugu.
« Ubinadamu unaonekana kuzama katika historia kama mtu kipofu, kiziwi na bubu anaye tafuta njia yake. Hayana uwezo wa kuuliza (…) Read more
Nilizaliwa huko Angers mnamo Februari 12, 1917…
Nilizaliwa huko Angers. Baba yangu alikuwa Mpolandi. Alikuwa akifanya kazi katika tasnia. Alikuwa ametumwa Madrid ambapo alikutana na mama yangu. (…) Read more
Watu maskini zaidi wanaweza kuwa kichocheo cha demokrasia ya kweli.
Hali ya maskini zaidini dharau kwa kanuni zetu za kidemokrasia. Hakuna demokrasia ambayo haijaegemezwa kwanza kwenye heshima kwa watu wasiojiweza. (…) Read more
Wakati unakimbia…
Wakati una kimbia,
Ni wakati wa kuelewa
kuwa hakuna sherehe yoyote
ambayo si sherehe ya wote.
Ni wakati wa kutaka sherehe itukutanishe sote.
Katika usiku (…) Read more
Watoto ni mabingwa wa upendo!
Unapozungumzia watoto, daima kuna mshangao, daima mshangao. Namkumbuka Patricia; baba yake alikuwa mzishi, na ilikuwa mbaya nyumbani kwao kwa sababu (…) Read more
Paris, Oktoba 17, 1987, Uzinduzi wa bamba kwa heshima ya wahanga wa umaskini.
Mnamo Oktoba 17, 1987, Padre Joseph Wresinski, mwanzilishi wa ATD Dunia ya Nne, alizindua bamba kwenye jumba la Haki za (…) Read more
Mateso yote si umaskini
(…). Mateso yote si umaskini, kinyume chake kabisa! Mateso ni sehemu ya hali ya mwanadamu; humjenga, humkuza; kwake ni dhamana (…) Read more
Kupenda ili kujuwa, kujuwa ili kupenda.
Marafiki wapendwa,
Mnatazama familia katika makazi duni, mnajaribu kuwaelewa, kukisia miitikio yao kwa ishara yenu ya undugu, mawazo yao kuhusu maisha, (…) Read more
Mnamo Julai 14, 1956, nilikuwa nimeingia kwenye bahati mbaya.
Maoni juu ya filamu “Rue des fleurs”, filamu ya kimya ya 1962, iliyorekodiwa na Baba Joseph Wresinski mnamo 1984.
Mimi ni (…) Read more










