Jiwe la Kumbukumbu

“Popote pale wanaume na wanawake wanapohukumiwa kuishi katika umaskini uliokithiri haki za binadamu zimevurugwa. Kuungana pamoja ili kuhakikisha kwamba hizi haki zinaheshimiwa ni jukumu letu sote.”

Joseph Wresinski,

Mwanzilishi wa ATD Dunia ya Nne

0 comments Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.