Ishara yoyote ya upendo hujenga matumaini ya maskini

Watoto wako karibu na Georgette,
wanamkumbatia ,
wakiwa kama watu wanao ishi bila kujulikana.

Watoto kumi na moja.
Jacques akasema: “Nahisi baridi”, na Claudine akasema: “Ni mbaya.”
Ubaya ni mji unaobomoka;
nyumba baada ya nyumba.
Kutoka ndani ya mioyo yao, watoto hawa wanauchukia, mji.
Hapo, wanahisi baridi kila wakati, kulikuwa daima kume chafuka.
Hata maua yaliyopandwa kando ya plasta
yalionekana mbaya.
Lakini leo, ni mbaya zaidi.
Kila nyumba inayoharibika huacha shimo,
kila nyumba inayoharibika hubaki pale, bila kutolewa,
ukitengeneza rundo la mafusi, za mbao zilizooza,
mabati zenye kupita huku na kule…

Ulimwengu huu, watoto wanauogopa!
Haishangazi kuona watoto hawa wanachukia mji lao.
Kwa bahati nzuri, kuna baba, mama, kaka na dada.
Lakini sio kila wakati wanawapenda…
Kwa bahati nzuri, sio sawa kwa wanyama,
mbwa , paka, haijalishi kama zimenyooshwa.
Kwa bahati nzuri, kuna Georgette.
Kwa sababu katika ulimwengu huu usio wa kawaida, katika mvurugo hii,
Georgette aliendelea na shule yake ya chekechea, na, hata,
alitaka kufanya zaidi awali ya hapo!
Kila asubuhi, yeye huenda kutoka nyumba hadi nyumba,
kupitia takataka zinazorundikana
na mafusi yakirundikana
na kuchukua umbo zamwisho.
Anamchukua kila mtoto mbele ya nyumba yao.
Anasubiri awe tayari,
akimsaidia mama kumvisha ikibidi.
Anamfariji Rosita ambaye anaogopa kuondoka nyumbani kwao,
uchafuzi huu wote unamtisha sana.
Halafu kuna hatari pia kwa Rosita:
Mdogo wake alipokea ubao mzito mguuni mwake,
amejilaza pale kitandani.

Kwa Georgette, ni muhimu kwamba kila siku
watoto kumi na moja wakuwepo.
Hataki kupoteza yeyote leo,
lakini , hasa, hataki kesho
wawe wanyonge kama walivyo sasa.
Georgette mara nyingi husema:
” Haipaswi kuwa kwa sababu ya mvurugo hii
akili zao zisimame.
Wanatakiwa waendelee kuonana ili kufarijiana.
Shule ya chekechea lazima iwe nzuri sana,
zaidi kuliko hapo awali, na kuwe joto sana. »
Lakini si rahisi.
Siku zilizo pita, imebomolewa nyumba
ambayo ilipakana na shule ya chekechea,
na sehemu za plasta ziligawanyika!
“Lazima wapate chakula nzuri,
bora kuliko hapo awali, nyingi zaidi.
Sio lazima
kwamba uharibifu wa ulimwengu wao uwatie kiwewe”, alisema.
Na tunayaona yakipitia mji ambalo linakaribia kubomolewa.
Ubomoaji ambayo imeendelea kwa miezi kadhaa.
Akiwa amezungukwa na watoto zake, anaonekana mkubwa sana katikati yao.
Anaenda na kundi lake ndogo, katika mitaa jirani,
ambapo kila kitu kilibaki kama hapo awali,
ambapo miti hukua ukinyoka, pia zenye furaha,
ambapo maua hutabasamu kila wakati.

Mwishoni mwa mwaka, Georgette alishinda dau lake,
licha ya tingatinga, licha ya uharibifu, licha ya hofu.
Uchunguzi ulionyesha kuwa hakuna mtoto
alikuwa amekosa maendeleo ya akili yake,
na wale waliokuwa na umri wa kutosha
waliweza kuingia chekechea.

Je! watoto hawa watamkumbuka Georgette?
Je, watakumbuka ni mawazo gani ilichukua,
ya huruma, ujasiri wa kuwaweka kama hii
kwa urefu wa mkono juu ya pambano?
Labda watamsahau Georgette,
lakini upendo mwingi hauwezi kupotea.
Watakuwa wanaume na wanawake kesho,
na kama njia zao hupishana tena, labda watasema:
“Huyu ndiye aliyetufanya tupende shule. »
Yote haya, kwa sababu mtu alienda
zaidi ya chukizo lake, hofu yake,
hadi mwisho wa uasi wake kwa ajili ya kupenda zaidi.

 

1 comments Leave a comment
  1. C’est de cet amour que Georgette a manifesté à ces enfants dont tout le monde a besoin pour permettre aux enfants de se sentir acceptés et de grandir dans un monde où il fait beau vivre.
    Georgette est un exemple pour l’humanité entière car elle n’a pas trouvé même une seconde pour penser à baisser les bras mais plutôt à aimer davantage.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.